.
Back in 2018, Nilivyograduate Na Civil Engineering Yangu..
Nilikuwaga Najua Ukiingia Mtaani Kwa Kutumia Diploma/Bachelor Yako ya Civil Engineering Kuna Option Mbili (2) Tu.
Moja: Uajiriwe
Mbili: Ujiajiri.
Kwenye Kuajiriwa Nilikwa Najua Ni Either Kwenye Makampuni Binafsi au Taasisi za Serikali.
Na Kwenye Kujiajiri Nilikuwaga Najua Either Ufungue Kampuni Lako la Ukandarasi (Consultancy/Contractor) au Upige Kabisa Chini Career Yako Na Ufanye Mishe Nyingine Nje Na Taaluma!
> That was the Poor Me Back to those Days Lakini 😂😁!
By the way You Can Do A lot of Stuffs with Either Your Diploma/Bachelor Degree in Civil Engineering!
> Ni Kwamba Tu Mmnh 🤦🏿♂️ Hii Sababu Inayotukwamisha Nitakuja Kukuambia Siku Nyingine!
Ndani ya Makala Hii Nimeshare Na Wewe Top Earning Civil Engineering Skills Remotely!
Bofya Hapa Chini Kufahamu Zaidi:
. . Tafuta Tu Mahali Popote Pakuanzia Kwanza Kwa 7bu Wanasema You Can't Chase Dreams in Empty Stomach Ikisha Dedicate Tu Muda wako Kujenga Uwezo Unahohitajika Utakuja Kunipa Mrejesho Siku Nyingine!
